Life
MORE
Home
2jiachie na Mahusiano
Jamiiblog Mahusiano
2jiachie
Friday, May 20, 2011
Eti kurudiana na mpz wa zamani ni sawa na kurudia kuvaa nguo chafu baada ya kuoga?!
The One Diva Loveness Love>>SOURCE
Paul Ligoha
is not true
18 hours ago
·
Priscus Adelard
Ni powa kwan baada ya kutangatanga unagundua ulipoteza chombo
18 hours ago
·
Like
Boniphace Laurent
DAH! diva minafikiri ts luv dat matas hayo mengine yatkuwa ya wa2 2
18 hours ago
·
Like
Mushi Patrick
Ebwana da ni kamaunakuwa umegundua weknes yko dat y una turn bck 2ur buu....!
17 hours ago
·
Like
Swahiba Rajab
Nisawakurudiananampnzwazam
an,fbothstlfileachothr...
17 hours ago
·
Like
Goodluck Gabriel
Yeah sio nguo chafu 2 ni sawa na kula matapish!
17 hours ago
·
Like
Goodluck Gabriel
How dare u cheat... i hate cheaters..
17 hours ago
·
Like
James Kitime
Hapana diva kurudiana na x wapo ni kama maendeleo katika mahusiano.na ni hapo 2 ambapo ile methali ya binadamu siyo milima milima kwa maana hukutana na kusameheana ikiwa walikoseana
17 hours ago
·
Like
Hamzat Nzowa
Diva wanaosema hivyo hayajawakuta.Kupenda jamani nihatari,hasa umpate anae kufikisha pale kati dah!We acha tu
17 hours ago
·
Like
Hamzat Nzowa
Diva wanaosema hivyo hayajawakuta.Kupenda jamani nihatari,hasa umpate anae kufikisha pale kati dah!We acha tu
17 hours ago
·
Like
Acqueirine Marwa Mageta
Diva inategemea mliachana kwa 7b zip!! ila mara nyng wa2 huwa hawarud kwa mapnz bali wanaangalia maslai zaid!
17 hours ago
·
Like
Hamzat Nzowa
Diva wanaosema hivyo hayajawakuta.Kupenda jamani nihatari,hasa umpate anae kufikisha pale kati dah!We acha tu
17 hours ago
·
Like
Benson Fidelis
No. umeona nini umuhimu wake kwako ndo sababu kumrudia. Na kurudia nguo baada ya kuonga c mbaya.
16 hours ago
·
Like
Faraja N Nyinyimbe
yap mdada ni kwanini utapike then ukalambe kwani wameisha
16 hours ago
·
Like
David Ndohe
Yap! Diva mapenz yanalaani dunia so kurudiana na mpenz wa zaman itategemeana na 7bu ambyo iliwa tenganisha.
16 hours ago
·
Like
David Ndohe
Diva ukitema, tema kwel kuonesha mcmamo. So wananchi ktk mapenz ni weng pia madem wakal kila cku wanazaliwa so demu akimaind kuachana anatemwa kimoja zen 2naangalia masuala ya mbele kwa mbele. Ok?
16 hours ago
·
Like
Yaredi Erick
Con ubaya wa kurudiana na x wako kwan tang kuachana mpk kurudiana tena kuna meng ambyo mmejifunza xo c sawa na kutoka kuoga na kurudia nguo iliyochafuka
16 hours ago
·
Like
Anna Makanta
diva mapenz bwana ackwambie mtu kama mlipendana kwel hata mkosane kwa lipi mtarudiana tu utawavulia nguo watu wangapi shame diva dah!
16 hours ago
·
Like
Saidy Maulidy
Cster diva,remember kupenda n upofu na kipenda roho hula nyama mbich so kumrudia x lov wako n jambo la kawaida
16 hours ago
·
Like
Nickson James
dat z vry cmple diva,espcial km alikuwa anakufksha knye pick daaaaa....!! n ktendo ya kugusa 2
15 hours ago
·
Like
Nickson James
diva manz yang nahc ananchora hv
15 hours ago
·
Like
David Anania Mwakyusa
No diva me cdhan km ni vbaya wakludiana coz if u hv boyfrnd or galfrnd smthng lke dat must happen in our society xo km mnapendana mnaweza kuludiana bla tatzo
15 hours ago
·
Like
Julius Zephania
Juzephania Kuludia Mpnz N suara la kawaida kabisa.
14 hours ago
·
Like
Pascal Dominic
daaaaaa hiyo hakuna bwana penzi la zamani tamu bwana na hasa pale awe ndo mke wako wa kwanza au mme wako wa kwanza
14 hours ago
·
Like
Yussuph Mohamedy Ridhwan
Sio kweli diva basi nini maana ya msamaha unapomsamehe mpnz wako mnarudiana kama mnapendana..
13 hours ago
·
Like
Alex Mlivela
harua haina makombo mkielewana poa si una jua mambo mambo ya zamani mkiyamic mic u diva
12 hours ago
·
Like
Faraja N Nyinyimbe
jamani let him go bcoz hiz part n story z over plz bana dnt reiz the ded love bt if z da first sina coment on dat
12 hours ago
·
Like
William Njagy
i guess no it depends how deep lv is into twn 2
11 hours ago
·
Like
Reggy Sawe
Hapana , depend on typ of lov u fil na wht mak u separat
10 hours ago
·
Like
Zay Msangi
..ts hard n simpl dependng on hw u broke up.
10 hours ago
·
Like
Nyiganda Charles
Inategemea na mt mwenyewe na sababu yenyewe iliyosababisha muachane,lakin mkisha sawazisha masuala mnarudiana tu.
9 hours ago
·
Like
Bonie Yonah 'Bonitoh'
Dah!nguo ninguo na itabaki nguo 2 ila...utamu wa penzi....ni dunia nyngne...me naona itategemeana...kama mm nikirudiana labda...awe nimembikiri...mimi au anamasham msham ya mahabati...sio...zaidi ya hapo nitamchuna2!
9 hours ago
·
Like
David Moses
love z vr delicat mata guys kuachana n kurudiana dpends on th way brk up
9 hours ago
·
Like
Liwile Mahamoud
si sawa!!!!!!!!!dah ,nimambo yapo ktk maisha baada ya kutafakari mwenyewe na kupata jibu ndiomaana akarudi kwa mpenzi wake saw!divaaaaaaaa
9 hours ago
·
Like
Hosea Ashery
thnk t dpend on hw relshnp yenu ilikuwa vp,nguo n nguo,cnt cmpr wit luv diva,u cn hd bg fyt,n smply u cn setdown n gt bck.
9 hours ago
·
Like
Charity Clement Mkude
Hapana c sawa,iwapo kuna umuhimu wa kurudiana naye,haijarishi,mrudie2,ha
ta nguo uonekana chafu kwa mwingine na siyo mvaaji
8 hours ago
·
Like
Albert Katabwa
Hapana diva.Ts gud kurudiana na mpenzi wako wa zamani.Sio kama vile kurudi nguo chafu
7 hours ago
·
Like
Mary Kapwani
hi Diva, hope u're donig gud. si jambo zuri hata kidogo kumrudia mpenz wa zaman coz mara nyingi mambo yaliyowafanya muachane huwa yanajirudia vilevile.
7 hours ago
·
Like
David Johson'Big Dady'
diva honestly i love ma x galfriend than my current one,i just cant forget her,i love her grace zacharia wa mbezi kimara
7 hours ago
·
Like
·
1 person
Bernard Augustino Malya
Any girl who is looking for a boyfriend am free and single chat with me and u might be lucky bernardmalya@yahoo.com.
7 hours ago
·
Like
Dickson Georges
diva kurudiana na x inategemea,smtimes inaweza kuwa ni just miss undrstndin ndo ilifanya mutengane for smtimes na kama stil real luv ipo mnaweza kurudiana. But mimi i cnt do tht coz i'm alrdy taken with a new chick,so my x 4get abt me. Diva plz play 4me alrdy taken by trey songs
7 hours ago
·
Like
·
1 person
Luggy Mushi Jossy
mh diva i love ua romantic voice cwry,kiukwel kurudiana na x yategemea mliachana ktk mazingra yepi,pia yategemea na tym tng mlipo achana,km imepta months lyk 2 o 3 sawa,bt a year?nop..ila 2 me,cwez rudiana na ma x never...me dnt love im,hate im yan,play me get me bodied by beyonce
7 hours ago
·
Like
Onesmo Singo
haiwe kwani mkirudian kilicho sababisha hapo mwanzo muachane ktawatenganisha tena. so sio goog at all
7 hours ago
·
Like
Evance Tairo
Diva acha hizo mambo coz in this world people breakup and people make up, so penye real love there must be a second chance.
6 hours ago
·
Like
Evance Tairo
Diva acha hizo mambo coz in this world people breakup and people make up, so penye real love there must be a second chance.
6 hours ago
·
Like
Deodotto Likonga
You know what Diva, its happen with a reson and when its occur to come close again ever one come to respect each other and love come more stronger than before. By Deodotto from Ukonga. G9t
6 hours ago
·
Like
http://www.facebook.com/permalink.php?story_fbid=148908421844702&id=107790522623159
Write a comment...
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment