Marafiki kuweni Makini sana na swala la mapenzi
Dunson Cuthbert Olotu>>>Marafiki
kuweni Makini sana na swala la mapenzi.Mimi yalishanikuta nilimpenda
sana mwanamke anaeitwa Neema Mushi anafanya kazi Kakai Stationary Hapa
Arusha nilimsaidia kwahali na Mali yeye na familia yake pia nilijitahidi
kwa kilanililoweza kwakuwa nilimpenda achilia mbali Gari yakutembelea
nilimnunulia namambo mengi mengi nilimuwezesha nilimuoa baada ya Ndoa
mika minne kuisha nilianza kupata Habari
kuwa Ana mahusiano nje nilifuatilia SIMU yake ameweka password
zakutosha niliendelea nauchunguzi bilayeye kujua baada yakutimia miaka
nane nilimfumania alikuwa na baba Mzee kuliko baba yangu niliwaweka
ndani police Yule hawara wa Neema anaumri Wa miaka 58 Neema anaumri Wa
miaka 27 hivyo baada yakotoa Maelezo police wote wanakubali walikuwa na
mahusiano sikunyingi.Mke wahuyo hawara Wa Neema nae akawamkali sana
KWANI Huyo hawara Wa Neema anafugwa na mkewe Hana mbele wala nyuma
anaishi nyumba yakupanga vyumba viwili Wakati Ana watoto wakubwa kuliko
Neema.Neema ananiibia hela ndani anampelekea Huyo hawara.Huyo hawara
anaitwa Honest Temu nae yupo Arusha.hivyo nilihamua kumuacha Neema
kabisa.amezunguka kila mahali anaomba nimsamehe namisitamsamehe kamwe ni
muuwaji.kuweni Makini nahuyu Neema Aminadabu Mushi amezaliwa machame
kijiji cha Shari mtaa wa kishare.huyu Temu amezaliwa Moshi Eneo la
shambarai.KUWENI MACHO MARAFIKI
No comments:
Post a Comment